RAIS SAMIA AFUNGUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA POLISI MKOA WA KATAVI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura…
Na Abel Paul,Jeshi la Polisi Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limeiomba Jamii na kuikumbusha kujikitaka katika malezi kwa watoto ili kujenga jamii inayochukia…
Mbunge wa Jimbo la Namtumbo Vita Kawawa,akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Mchepuo wa masomo ya Sayansi ya Dkt Samia Suluhu Hassan,baada ya kukagua ujenzi wa miundombinu na mazingura ya shule hiyo jana. Muonekano wa ukumbi unanojengwa katika shule ya Sekondari Samia Suluhu Hassan wilayani Namtumbo. Mkuu wa…
NA MWANDISHI WETU, Katavi MKURUGENZI Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliji (NIRC), Raymond Mndolwa, amewataka Wakandarasi wanaojenga miundombinu ya umwagiliaji kuhakikisha wanasaidia jamii hususani…
Na: Dk. Reubeni Lumbagala, Kongwa, Dodoma. Nikukaribishe mpendwa msomaji wangu kuendelea na sehemu ya pili ya makala yetu isemayo “Tusaidie kufanikisha kampeni hii ya…
Mnamo tarehe 05/07/2024 imetolewa hukumu ya kesi ya Jinai namba CC.386 /2024 na Hakimu Mkazi Mwandamizi Gloria Nkwera, katika shauri lililoendeshwa na Mawakili Waandamizi…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi tuzo Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la NIC Bw. Kaimu…
Na. Beatus Maganja Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Nchini – TAWA Mej. Jen. (Mstaafu) Hamis Semfuko amewahimiza watanzania…
Mkutano huo ulifanyika kwenye Ofisi za TIC zilizopo Posta Jijini Dar es Salaam ambapo Viongozi hao walijadiliana kuhusu kufanya kazi kwa ukaribu ili kuwafikia…