fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
JIJI MBEYA LATAKIWA KUPIMA ARDHI KWA AJILI YA UWEKEZAJI
Mbunge wa Mbeya Mjini, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Mabunge Duniani Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema imefika…
BALOZI NCHIMBI APOKEA TAARIFA UTEKELEZAJI ILANI MCHINGA, AMPONGEZA MBUNGE MAMA SALMA KIKWETE KWA KAZI NZURI
“Niseme nimeisikiliza taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, tena kwa umakini sana kwa niaba ya CCM nakupongeza wewe na viongozi wenzako…
RAIS SAMIA AMUAPISHA KAMISHINA MKUU WA MAGEREZA TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimvalisha Kamishna wa Magereza CP. Jeremiah Yoram Katungu…
TAWI LA YANGA MKOLANI WATOA MSAADA GEREZA LA BUTIMBA
Mwenyekiti wa Tawi la Yanga Mkolani Aporinary Mgunda (katikati) akiwa na baadhi ya wanachama wa Tawi hilo kwenye Gereza Kuu la Butimba Baadhi ya…
RAIS SAMIA ASHIRIKI KATIKA KUMBUKUMBU YA HAYATI BENJAMIN WILLIAM MKAPA
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Kumbukizi ya 3 ya Urithi wa Мкара katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC)…
WAZIRI NDEJEMBI AKUTANA NA WARATIBU WA MIRADI YA WIZARA YA ARDHI
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza wakati wa kikao chake na waratibu wa miradi inayotekelezwa na wizara ya…
KAMPUNI YA HEINEKEN BEVERAGES YAPANUA SOKO KWA KUINUNUA BIA YA WINDHOEK
Meneja wa Kampuni ya Heineken Beverages International hapa nchini, Obabiyi (kulia) Fagade akiongea katika mkutano na waandishi wa habari,(kushoto) ni , Mkurugenzi Mtendaji wa…
TAKUKURU TANGA YAANZA UCHUNGUZI WA MIRADI ILIYOKUWA NA MAPUNGUFU KATIKA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2024
Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Tanga,Afisa Uchunguzi Mwandamizi wa Takukuru Mkoa wa Tanga Frank Mapunda wakati akitoa taarifa utendaji kazi wao…
SERIKALI YAHITIMISHA KWA MAFANIKIO ZOEZI LA UTOAJI WA ELIMU YA FEDHA MKOANI MTWARA
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, Bi. Beatrice Mwinuka akizungumza na Timu ya wataalamu ya Wizara ya Fedha na wataalamu kutoka Taasisi…