fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
WAZABUNI WAPEWA SOMO MODULI YA KUWASILISHA RUFAA
Wazabuni mbalimbali wameendelea kutembelea Banda la Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) na kupatiwa elimu juu ya moduli mpya ya kuwasilisha rufaa/malalamiko…
PPAA YAENDELEA KUTOA ELIMU MAONESHO YA NANENANE
Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imeendelea kutoa elimu kwa Umma kuhusu majukumu, malengo na mafanikio ya Mamlaka hiyo hususan kuanzishwa kwa…
MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA AKABIDHI VYEREHANI CHUO CHA UFUNDI FURAHIKA
Na Mwandishi wetu. Makamo Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM-Taifa)Rehema Sombi amekabidhi Vyerehani viwili kwa Chuo Cha Ufundi stadi Veta,Furahika…
MBUNGE CHADEMA AIPONGEZA TTCL KWA MABORESHO MAKUBWA
Na Sophia Kingimali. Muwakilishi wa wanawake mkoa wa Mbeya ambaye pia ni Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)Sophia Mwakagenda…
WAMILIKI WA VIWANDA CHANGIENI MFUKO WA BIMA YA AFYA
Na. WAF – Morogoro Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekitaka kiwanda cha Sigara cha Serengeti (SCC) pamoja…
RAIS SAMIA AKIWASILI KATIKA UWANJA WA JAMHURI MKOANI MOROGORO, APIGA SELFIE NA WANANCHI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro kwa ajili ya kuwahutubia Wananchi…
KAMPUNI YA TROUW NUTRITION YATOA ELIMU KWA WAFUGAJI JUU YA UFUGAJI BORA WA KISASA.
Afisa mauzo kutoka kampuni hiyo,Andrew Vitalis wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu bidhaa zao katika maonyesho ya nanenane Njiro ……………. Happy Lazaro, Arusha…
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. MWINYI AMEFUNGUA KITUO CHA UKAGUZI WA VYOMBO VYA MOTO ZANZIBATR (ZBS)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kukifungua Kituo Kipya cha Ukaguzi wa Vyombo vya Moto…
DC APONGEZA USHIRIKIANO WA SHIRIKA LA POSTA NA AZAMPESA
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Beno Malisa akisajiriwa tayari kuanza kupata huduma ya Azampesa kwenye simu yake ya kiganjani kabla ya kuzindua Ushirikiano kati…