fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
MIRADI IENDANE NA THAMANI YA FEDHA INAYOTUMIKA – MAJALIWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Maadhimisho ya Miaka 50 ya Idara ya Ujenzi ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST)…
SERIKALI KUJENGA BARABARA YA MASASI – LIWALE KM 175 KWA AWAMU
Serikali imesema inaendelea na utaratibu wa ujenzi wa barabara ya Masasi –Nachingwea- Liwale yenye urefu wa KM 175 kwa awamu ili kuendelea kurahisisha shughuli…
MAJENGO SERIKALI YAZINGATIE HUDUMA ZA DHARULA
Adeladius Makwega – MWANZA Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini ndugu Methusela Ntonda amesema kuwa majengo yote ya serikali ambayo…
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU IKULU ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikilza Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa Tanzania (TAKUKURU)…
RAIS SAMIA ASHIRIKI UZINDUZI WA KAMPENI YA BABA RAILA ODINGA KUGOMBEA UENYEKITI WA KAMISHENI YA UMOJA WA AFRIKA (AU) JIJINI NAIROBI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mhe. Dkt. William Samoei Ruto Rais wa Jamhuri…
RAIS MWINYI:TAKUKURU NA ZAECA ONGEZENI USHIRIKIANO.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amezisihi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) na Mamlaka…
UTAFITI WAONESHA ASILIMIA 86.2 YA WANAWAKE WANAJIHUSISHA NA SHUGHULI ZA MADINI
• Wanawake 17 sawa na asilimia 1.7 wanamiliki Migodi • Wanawake 67 sawa na asilimia 6.8 wanamiliki maeneo ya uchimbaji • Wanawake 855 sawa…
TUENDELEE NA MIKAKATI YA KUZUIA MAGONJWA YA MLIPUKO KWA CHANJO
Na WAF – Brazzaville, Congo Rais wa Congo Brazzaville, Mhe. Denis Sassou Ng’uesso amesisitiza umuhimu wa kuendelea na mikakati ya kuzuia magonjwa ya milipuko…
RAIS DKT. SAMIA AWASILI NAIROBI NCHINI KENYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Nairobi tayari kwa…