fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
WANAFUNZI WOTE WA KUTWA WAPATE CHAKULA SHULENI’ MHE. MCHENGERWA
OR – TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka wakuu wa mikoa na…
DCEA YATOA ELIMU KATIKA JUKWAA LA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI MKOANI TANGA
Na Prisca Libaga Tanga Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini tarehe 29.08.2024 yatoa elimu juu ya madhara…
CCM KIBAHA MJI YAWAPA VIDONGE VYAO VIONGOZI WA CHAMA KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
NA VICTOR MASANGU, KIBAHA Chama cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kibaha mjini kimewataka viongozi wa CCM kuanzia katika ngazi za Kata, Wilaya na…
MAMLAKA ZA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI ZATAKIWA KUTUMIA FURSA ZILIZOPO KATIKA SHERIA YA PPP
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza wakati akifungua Mkutano wa kuwajengea uwezo Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu…
DC SAME ALIFUNGIA KANISA LA NABII MSANGI.
Ashrack Miraji (Fullshagwe Media) Kilimanjaro Mkuu wa Wilaya ya Same Kasilda Mgeni amelazimika kufunga Jengo lililokuwa likitumika kama nyumba ya ibada maarufu “KANISA LA…
HESLB YAONGEZA MUDA WA UOMBAJI MIKOPOHADI SEPTEMBA 14, 2024
Na Mwandishi Wetu, Dodoma. Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeongeza muda wa siku 14 mbele ili kutoa fursa kwa…
DKT. BITEKO AWAASA WATANZANIA KUCHAGUA VIONGOZI WANAOFAA
*Asisitiza Umoja wa Kitaifa, Ataka Wagombea Kunadi Sera Kistaarabu *Aipongeza NMB kwa Kuchangia Sh. Milioni 50 Ujenzi wa Bunge Boys *Asema Bunge Bonanza Limeleta…
RAIS SAMIA AHUDHURIA MASHINDANO YA QURAN TUKUFU KWA WANAWAKE UWANJA WA BENJAMIN MKAPA DAR ES SALAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ahudhuria Mashindano ya Dunia ya Qur’an tukufu kwa Wanawake Uwanja wa Benjamin…
BENKI YA (TCB) KUSAIDIAUKUAJI WA TASNIA YA FILAMU NA SANAA NCHINI
Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeshiriki katika kikao kazi cha uzinduzi wa Tamasha la Kimataifa la Maendeleo ya Filamu na Sanaa Tanzania linalotarajiwa kufanyika…