fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
BRELA YATOA RAI KWA WABUNIFU MAJENGO NA MICHORO KULINDA BUNIFU ZAO
Na Sophia Kingimali. Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imetoa rai kwa wasanifu Majengo kutumia vizuri bunifu na kulinda michoro yao lakini…
DKT. BITEKO ATOA SOMO UZALISHAJI, MATUMIZI YA NISHATI AFRIKA
*Asisitiza ushirikiano miongoni mwa nchi za Afrika *Asema ubunifu na uvumbuzi utawezesha matumzi ya rasilimali *Ahimiza nchi za Afrika kunadi agenda ya Nishati safi…
RAIS WA UMOJA WA MABUNGE DUNIANI AWASILI ITALIA
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 5…
TUJIPANGE KUENDANA NA KASI YA MABADILIKO SEKTA YA AFYA
Na WAF – Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Jenister Mhagama amelitaka Baraza la Madaktari Tanganyika kujipanga zaidi ili kuendana na kasi ya mabadiliko makubwa…
ONGEZENI KASI YA UTOAJI WA HUDUMA ZA UUGUZI NA UKUNGA
Na WAF – Dodoma WAZIRI wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ameitaka Idara ya Uuguzi na Ukunga kuongeza kasi ya utoaji wa huduma za uuguzi…
UTATUZI CHANGAMOTO ZA ELIMU MSINGI WAZIRI MCHENGERWA AKARIBISHA WADAU
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema ofisi yake inakaribisha washirika kusaidia katika nyanja…
MHE. SAMIA: LICHA YA CHANGAMOTO ZINAZOKABILI UCHUMI WA DUNIA CHINA IMEKUWA RAFIKI WA KWELI
Rais was Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema licha ya changamoto zilizoukabili uchumi wa dunia kwa miaka ya hivi…
WAHANDISI DAY MAADHIMISHO YA KUINUA UADILIFU NA UFANISI WA WAKANDARASI
Asubuhi ya leo, katika jiji lenye pilikapilika la Dar es Salaam, viongozi, wataalamu, na wakandarasi walikusanyika kwenye ukumbi mkubwa wa Mlimani City kusherehekea maadhimisho…
WIZARA YA FEDHA YATOA MAFUNZO KWA MAAFISA UNUNUZI WA TAASISI ZA UMMA
Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya, Bw. Rodrick Mpogole, akizungumza wakati wa Mkutano wa kuwajengea uwezo Wakuu wa Vitengo vya Ununuzi na Wakuu wa Maafisa…