DKT. MWIGULU AIPONGEZA PPAA KUANZISHA MODULI YA KUPOKEA RUFAA KIELETRONIKI
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb.) ameipongeza Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) kwa kuanzisha moduli ya kuwasilisha rufaa/malalamiko kwa njia…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb.) ameipongeza Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) kwa kuanzisha moduli ya kuwasilisha rufaa/malalamiko kwa njia…
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizindua gari la Huduma Tembezi za Afya (Mobile Medical Service) la…
Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Mateka Halmashauri ya mji Mbinga mkoani Ruvuma,wakichota maji jana baada ya kukamilika kwa ukarabati wa mradi wa maji ya bomba ulioharibika kwa zaidi ya miaka 21. Mkurugenzi wa Mamlaka ya maji na usafi wa mazingira Mji wa Mbinga Mbiuwasa Mhandisi Yonas Ndomba,akimtua ndoo ya maji mkazi wa mtaa wa Mateka wilayani Mbinda Veronica Nombo. Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya maji na usafi wa mazingira katika mji wa…
Mbunge wa jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda akikabidhi hundi ya shilingi milioni 45…
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Bw. Ephraim Balozi Mafuru, amesisitiza umuhimu wa onyesho la “Swahili International Tourism Expo” (SITE) katika kuimarisha…
……… Happy Lazaro,Arusha . Katika maadhimisho ya wiki ya AZAKI inayoendelea mkoani Arusha ,Shirika la Save the Children limetoa elimu kuhusu afya na lishe…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Vitabu vya Ripoti ya Utafiti wa Jiolojia na Utafiti wa Madini…
*GST yakamilisha Utafiti wa Miamba, Udongo na Maji Zanzibar *Waziri Mavunde: Ripoti ya Jiolojia Zanzibar itachochea uwekezaji mkubwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa…
**Kampuni ya GAKI Investment Yapongezwa kwa Kuongeza Tija Katika Kilimo cha Pamba** Kampuni ya GAKI Investment Ltd., inayomilikiwa na Bw. Gaspar Kileo, imepongezwa kwa…
Katibu Mtendaji wa Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA), Bw. James Sando akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) pembezoni mwa Kongamano…