fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
INEC YAWATAKA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA KUFUATA SHERIA NA KANUNI NA TARATIBU ZA UCHAGUZI
Mwakilishi wa Mwenyekiti wa tume huru ya taifa ya uchaguzi INEC Adam Mkina Baadhi ya wadau walioshiriki katika mkutano wa tume huru ya taifa…
WAZIRI MKUU MGENI RASMI TAMASHA LA AZIMIO LA KIZIMKAZI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Tamasha la Azimio la Kizimkazi lililofanyika Kilimahewa Majumbakumi, Ruangwa, Desemba 31, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)…
RAIS SAMIA KINARA WA UHAMASISHAJI MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amewataka watanzania wote kuhakikisha wanatumia nishati safi ya kupikia kama njia mahususi ya…
MIKOA YA RUVUMA, NJOMBE NA RUKWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA JANUARI 2025
Mwandishi Wetu Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza ratiba ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwenye mikoa ya Ruvuma, Njombe,…
ZOEZI LA KULIPA FIDIA WANANCHI NGOMBO LINAKWENDA VIZURI : DC MALINYI
*Waliohama kupokelewa vijiji jirani, waipongeza Serikali Na Beatus Maganja, Malinyi. Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mhe. Sebastian Waryuba amesema zoezi la kuwalipa fidia wananchi…
WAZIRI KOMBO ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO UBALOZI WA INDIA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amesaini Kitabu cha Maombolezo Ubalozi wa India nchini…
SERA YA MADINI NGUZO MUHIMU KUIMARISHA SEKTA YA MADINI – MBIBO
*Yasaidia Ukusanyaji wa Mapato ya Serikali zaidi ya Trilioni 1.93 kati ya 2021 na 2024 Morogoro, Imeelezwa kuwa Sera ya Madini ya 2009 imekuwa…
NMB YADHAMINI KOMBE LA MAPINDUZI 2025, YAFADHILI SIKU YA MAZOEZI KITAIFA ZANZIBAR
BENKI ya NMB, imetangaza udhamini wa Sh. Milioni 50 wa michuano ya Kombe la Mapinduzi ya Zanzibar (Mapinduzi Cup 2025), inayotarajia kuanza Januari 03,…