fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KUAGA MWILI WA JAJI WEREMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete alipowasili kwenye viwanja vya Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kumuwakilisha Rais Dkt.…
DKT. BITEKO AHIMIZA UPENDO, KUVUMILIANA KATIKA KULETA MAENDELEO NCHINI
*Asema Rais Samia anaendelea kuweka Historia Nchini *Asema Rais amenuia kupunguza changamoto za Watanzania *Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati*…
WAZIRI MKUU KUONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA JAJI WEREMA KARIMJEE
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa akiwa kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam kuaga mwili wa marehemu…
ASKOFU DK.SERELWA, AHIMIMA KUTENDA MEMA, SHEIKH kABEKE AKIWATAKA WATANZANIA KURUDI KWENYE UTAMADUNI
Sheikh Hasani Kabeke,leo akizungumza katika hafla ya chakula cha pamoja na watoto yatima. Mjumbe wa Bodi ya The Rock Solution,Dr.Benard Desdoerius, akiwasilisha salamu za…
WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS FEDHA NA MIPANGO AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA YA MPENDAE ZANZIBAR.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Saada Mkuya Salum (kulia)akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi Barabara ya Mpendae Planned…
NAIBU SPIKA AWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA AFYA TUNGUU WILAYA YA KATI UNGUJA
Na Ali Issa, Maelezo Naibu Spika wa Baraza la wawakilishi Zanzibar Mhe,Mgeni Hassan Juma Amesema kumalizika kwa Kituo cha Afya Tunguu kitapunguza tatizo la…
TRA KUSHIRIKIANA NA BAKWATA KUTOA ELIMU YA KODI
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajia kushirikiana na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kutoa Elimu ya Kodi ili kuhamasisha Wananchi kulipa kodi kwa…