fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
RAIS SAMIA AZITAKA WIZARA TATU KUSIMAMIA KIKAMILIFU UTEKELEZAJI WA SERA NA MITAALA MIPYA YA ELIMU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa Sera ya Elimu na Mafunzo kwa mwaka…
CCM NA PROSPERITY PARTY KUIMARISHA USHIRIKIANO WA TANZANIA NA ETHIOPIA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameweka msisitizo juu ya umuhimu wa ushirikiano kati ya CCM na Prosperity…
UANDIKISHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA PWANI NA TANGA KUFANYIKA FEBRUARI 13-19 MWAKA HUU
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Februari 1, 2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imeanza maandalizi ya mzunguko wa 11 kati ya mizunguko 13 ya…
RAIS WA CABO VERDE AWASILI NCHINI TANZANIA KWA ZIARA YA KIKAZI
Rais wa Jamhuri ya Cabo Verde, Mhe. José Maria Pereira Neves amewasili nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi na…
RAIS SAMIA AZINDUA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO MWAKA 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda ya maonesho kuhusu masuala mbalimbali ya Elimu kabla ya kuzindua…
RAIS SAMIA AKABIDHI MAGARI YA HUDUMA ZA AFYA SIKONGE NA UYUI MKOANI TABORA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Paul Matiku Chacha mfano wa…
BARAZA LA MADIWANI SAME LAIDHINISHA BAJETI YA SHILINGI BILIONI 63.42 KWA MWAKA 2025/2026
Ashrack Miraji Fullshagwe Media Baraza la madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Same limepitisha kiasi cha shilingi bilioni 63.420 kwa mwaka wa fedha 2025/26…
MITAMBO NANE KATIKA MRADI WA JNHPP IMESHAKABIDHIWA KWA SERIKALI – DKT. BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa mitambo nane katu ya tisa ya kuzalisha umeme katika mradi wa…