fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
NJE JOGGING YASHIRIKI KILI MARATHONI, YAONDOKA NA MEDALI 8
Timu ya riadha ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki – Nje Jogging imeshiriki mashindano ya Mbio za Kimataifa za…
RAIS SAMIA ASISITIZA ULINZI KWA WATOTO, VIJANA, WAZEE NA AKINA MAMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mkata, katika uwanja wa Shule ya Msingi Mkata…
MNRT YAIPAMBA KILI MARATHON
………………. Na Sixmund Begashe Timu ya Riadha ya Wizara ya Maliasili na Utalii (MNRT RUNNERS) leo imeshiriki katika mbio za hiyari Mjini Moshi Mkoani…
BAKWATA YASHAURIWA KUANDAA MKAKATI KUPATA WALIMU WA MADRASA
Mgeni rasmi wa Kongamano la Vijana wa Kiislamu mkoani Mwanza, Mkurugenzi wa Kivulini, Yasin Ally,leo akizungumza katika kongamano hilo. Sheikh wa Mkoa wa Mwanza,…
DK.HUSSEIN MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA KISOMO CHA HITMA NA DUA YA KUMUOMBEA RAIS MSTAAFU MAREHEMU ALI HASSAN MWINYI
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi mbalimbali katika kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Ali…
KILI MARATHON ITUMIKE KUTANGAZA UTALII – DKT. BITEKO
*Watu zaidi ya 20,000 washiriki Kili Marathon * Awaasa kuzingatia ulaji na kufanya mazoezi * Serikali kuboresha miundombinu ya viwanja vya michezo *Na Ofisi…
WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN KILELE CHA TUZO ZA KUHIFADHI QURANI TUKUFU
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye kilele cha Tuzo za 33 za Kimataifa za kuhifadhi Qurani Tukufu kwenye…
RAIS SAMIA KUWEKA JIWE LA MSINGI NA KUSHUHUDIA UTIAJI SAINIĀ MIRADI YA UMWAGILIAJI MKOMAZI NA CHEKELEI KESHO
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aanatarajiww kuwa mgeni rasmi katika hafla muhimu ya uwekaji jiwe la msingi…
RAIS SAMIA AFUNGUA HOSPITALI YA WILAYA HANDENI MKATA TANGA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya Halmashauri ya wilaya ya Handeni…