POLISI ARUSHA WAJIPANGA KUIMARISHA USALAMA MKESHA WA MWAKA MPYA
Na Mwandishi Jeshi la Polisi- Arusha. Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema limejipanga vyema kuhakikisha sikukuu ya mwaka mpya 2025 inasherehekewa kwa amani…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Na Mwandishi Jeshi la Polisi- Arusha. Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema limejipanga vyema kuhakikisha sikukuu ya mwaka mpya 2025 inasherehekewa kwa amani…
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Sumbawanga Kalolo Ntilla wakati akizungumza na wakazi wa mji mdogo wa Laela katika uzinduzi wa msimu wa kilimo…
Wakazi wa vijiji vinavyozunguka Pori la akiba la Grumeti katika wilaya za Bunda na Serengeti mkoani Mara wameiomba serikali kuja na mbinu mbadala ya…
NA. MWANDISHI WETU – DAR ES SALAAM Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga ameshiriki…
Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa akitazama kazi ya ubanguaji korosho alipotembelea kiwanda kipya cha kubangua korosho Naunambe kilichopo Mbekenyera wilayani Ruangwa,…
Simba anayetunzwa kwenye Bustani ya Wanyapori ya Ruhila Zoo iliyopo katika Manispaa y songea mkoani Ruvuma ambaye ni moja ya vivutia vya utalii kwa wageni akiwa amepumzika kwenye banda. Baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma wakiangalia fuvu la kichwa cha Tembo lililohifadhiwa katika Bustani ya Wanyamapori Ruhila. Baadhi ya Wakazi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wakitembelea vivutio mbalimbali kwenye Bustani ya wanyamapori Ruhila jana. Wakazi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wakipata kitoweo cha Nyama pori kwenye Bustani ya Wanyama Ruhila jana. Wakazi wa Manispaa ya Songea wakiwa wamepumzika kwenye vibanda maalum vilivyojengwa na Mamlaka ya Hifadhi wanyamapori(TAWA)katika Bustani ya wanyama Ruhila. Nyama pori inayopatikana katika Bustani ya Wanyama Ruhila kata ya Msamala ambayo ni moja ya vivutio vikubwa kwenye bustani hiyo kwa wageni kutoka ndani na nje ya mkoa wa Ruvuma. ……………… Na Mwandishi Maalum, Songea…
Waziri Mkuu, na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa akizungumza na Wananchi wa kijiji cha Mbekenyera wilayani Ruangwa, Desemba 29, 2024. (Picha na Ofisi ya…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akicharaza gita la Bass alipokabidhi vifaa vya muziki vyenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa Mkurupuko Jaz Band ya Mbekenyera…
Mabingwa Watetezi Yanga SC wamefanikia kuibuka na ushindi wa mabao 5 –o dhidi ya Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu NBC Tanzania Bara…