fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
WAZIRI WA BIASHARA NA MAENDELEO YA VIWANDA AWEKA JIWE LA MSINGI MAABARA YA UTAFITI WA MAGONJWA YA WANYAMA DOLE WILAYA YA MAGHARIBI A ZANZIBAR.
Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Omar Said Shaaban (kulia)akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi Maabara ya Utafiti wa Magonjwa ya…
MWENYEKITI NYAMKA AUNGURUMA PANGANI AWATAKA WENYEVITI WASIFANYE KAZI KWA MAJIVUNO
NA VICTOR MASANGU, KIBAHA Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi (CCM) Mwalimu Mwajuma Nyamka amewataka wenyeviti wote wa serikali za mitaa kupitia tiketi ya CCM…
DKT. NCHEMBA AMUAGA BALOZI WA MAREKANI NCHINI
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) (Kulia), akiagana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania aliyemaliza muda wake, Mhe. Michael Battle,…
WATENDAJI MANYARA WAKUMBUSHWA KUENDELEA KULIPA MADENI YA MSD
Watendaji wa vituo vya kutolea huduma za afya katika Mkoa wa Manyara wametakiwa kuendelea kulipa madeni yao kwa Bohari ya Dawa (MSD), ili kuiwezesha…
WAZIRI MKUU AWASILI UGANDA KUMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA MKUTANO WA KILIMO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa na Waziri wa Nchi anayeshugulikia Kilimo, Mifugo na Uvuvi wa Uganda, Fredrick Bwino Kyakulaga (wa pili kushoto) alipowasili kwenye…
DKT. MPANGO: TANZANIA INATHAMINI USHIRIKIANO WAKE NA MAREKANI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania anayemaliza muda wake Mhe.…
MKUU WA MKOA MJINI MAGHARIBI AZINDUA KITABU KUHUSU URITHI WA VIONGOZI WA TANZANIA
Na Fauzia Mussa MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Idrissa Kitwana Mustafa, amesisitiza umuhimu wa kuelimisha wananchi kuhusu maendeleo yaliyofanywa na viongozi wakuu wa…
TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA YACHUNGUZA VIFO VYA WATU WAWILI PEMBA
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeeleza kuwa inachunguza vifo vya watu wawili vilivyotokea hivi karibuni katika Mkoa wa Kaskazini Pemba.…
“UVAMIZI WA MAENEO HIFADHI YA TAIFA KATAVI HAUKUBALIKI”. CP. WAKULYAMBA
..,………. Na Sixmund Begashe – Katavi Jeshi la Uhifadhi nchini limetakiwa kuhakikisha linaimarisha ulinzi katika maeneo yaliyohifadhiwa kisheria, ili kupambana na changamoto za uvamizi…