fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
MUFTI MKUU WA ZANZIBAR SHEIKH SALEH OMAR KABI AFUNGA MAFUNZO YA MKUPUO WA PILI WA USIMAMIZI WA NDOA KATIKA MASJID JAMII ZINJIBAR MAZIZINI MJINI UNGUJA. Inbox
Baadhi ya Masheikh waliopata Elimu ya Mafunzo ya Usimamizi wa Ndoa kwa Miezi Mitatu waliohudhuria katika Mahafali ya Mkupuo wa Pili wa Mafunzo hayo…
RUZUKU YA NISHATI SAFI KUWANUFAISHA WANANCHI
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis Januari 16, 2025 jijini Dodoma akifafanua jambo kwa Kamati ya…
RAIS AZALI: COMORO KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KATIKA SEKTA ZA KIMKAKATI
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Visiwa vya Comoro Mheshimiwa Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazumgumzo na Rais wa Umoja…
MAKUMBUSHO YA TAIFA KUNADI UTALII WA HISTORIA KATIKA MKUTANO WA NISHATI WA AFRIKA
DAR ES SALAAM Taasisi ya Makumbusho ya Taifa la Tanzania (NMT) imeweka mkazo katika kuimarisha utalii wa kihistoria na utamaduni wa Tanzania kupitia fursa…
MAKAMU WA RAIS MWANDAMIZI MTENDAJI WA JICA ATEMBELEA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
Mkoani Arusha, Tanzania Makamu wa Rais Mwandamizi Mtendaji wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Japan (JICA), Bi. Katsura Miyazaki, ametembelea Tanzania na kukutana…
SERIKALI KUANZISHA MFUKO WA. NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Serikali inaendelea na ukamilishaji wa taratibu za kuanzisha Mfuko wa Nishati safi ya kupikia ili kuweka ruzuku itakayowawezesha wananchi wa kipato cha chini kumudu…
TRA NA WAFANYABIASHARA KARIAKOO KUFANYA BONANZA KWA PAMOJA JUMAPILI
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, akizungumza na wafanyabiashara wa Kariakoo, kuhusu maandalizi ya bonanza la mwezi wa mlipakodi la Mamlaka ya Mapato…
BENKI YA EQUITY YAINGIA MAKUBALIANO NA NIC KUONGEZA UFANISI.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Kaimu Mkeyenge (kushoto) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Equity Bi. Isabela Maganga wakisaini…
AKIBA COMMERCIAL BANK PLC YAWAZAWADIA WASHINDI WA KAMPENI YA TWENDE KIDIGITAL TUKUVUSHE JANUARI
Na Mwandishi wetu-Dar es salaam Akiba Commercial Bank imewashukuru wateja wake kwa kushiriki katika kampeni “twende kidigital tukuvushe Januari” na imewahimiza kuendelea kutumia huduma…