fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
WAZIRI MKUU ASISITIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI KWA WATANZANIA WOTE
*Awataka Wana-CCM kujiandaa na Uchaguzi Mkuu *Asema Wana-CCM wanaowajibu wa kueleza kwa watanzania utekelezaji wa Ilani WAZIRI MKUU, amewasisitiza Watanzania wote kushirikiana na Serikali…
DKT. NCHEMBA ATETA NA VIONGOZI WA RAIS WA BENKI YA DUNIA
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kushoto) akisalimiana na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Afrika Mashariki,…
NAIBU WAZIRI MKUU WA NAMIBIA AWASILI NCHI TANZANIA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa wa Ujenzi na Uchukuzi wa Jamhuri ya Namibia Mheshimiwa John Mutorwa, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili…
KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA AMLAKI RAIS WA BENKI YA DUNIA
Na Joseph Mahumi, WF, Dar es Salaam. Rais wa Benki ya Dunia (WBG), Bw. Ajay Banga amewasili nchini mchana wa leo tarehe 26 Januari…
MUHIMBILI, JKCI, MOI, AGA KHAN ZIMEJIPANGA KUHUDUMIA WAGENI MKUTANO WA NISHATI
Na WAF – Dar es Salaam Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama, leo amefanya ziara hospitali Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Taasisi ya Moyo…
NCAA YAZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA UTALII MAPANGO YA AMBONI- TANGA
Na Philomena Mbirika, Tanga Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) imezindua Kampeni ya kuhamasisha utalii wa ndani katika mapango ya amboni Tanga…
KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA AMLAKI RAIS WA BENKI YA DUNIA
Rais wa Benki ya Dunia (WBG), Bw. Ajay Banga, akiteta jambo na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, wakati alipowasili katika…
WASIRA: UAMUZI WA MKUTANO MKUU UMEZINGATIA KATIBA YA CCM
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira, akihutubia viongozi na wanachama wa CCM katika mkutano wa hadhara uliofanyika Viwanja vya Mnazi Mmoja, leo…