KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA RUFIJI KWA UTEKELEZAJI BORA WA MIRADI
OR-TAMISEMI KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI, imeridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Wilaya ya Rufiji, hususan ukarabati wa Hospitali…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
OR-TAMISEMI KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI, imeridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Wilaya ya Rufiji, hususan ukarabati wa Hospitali…
Rais wa kwanza wa Namibia na mpigania uhuru maarufu, Dk Sam Nujoma, amefariki dunia baada ya kuugua kwa takriban wiki tatu. Taarifa rasmi ya…
Baadhi ya Wakazi wa kijiji cha Ligunga kata ya Ligunga Wilayani Tunduru wakipata huduma ya maji kutoka kwenye bomba la kupampu kwa mkono ambalo ndiye tegemeo pekee kwa Wananchi wa kijiji hicho kupata huduma ya maji safi na salama,hata hivyo Serikali kupitia RUWASA imeanza kuchimba kisima kirefu ili kukabiliana na kero hiyo. Baadhi ya Wakazi wa Kijiji cha Ligunga Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma,wakimsikiliza Afisa Uhusiano wa RUWASA Mkoa wa Ruvuma Geddy Ndimbo aliyenyoosha mkono kulia,baada ya wakazi hao kutembelea ujenzi wa kituo cha kuchotea maji kinachojengwa kwa ajili ya kukabiliana na changamoto ya maji safi na salama. Muonekano wa kituo mojawapo cha kuchotea maji kilichojengwa katika kijiji cha Ligunga Wilayani Tunduru na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini(RUWASA) kwa ajili ya kutoa huduma ya maji safi na salama kwa Wananchi wa kijiji hicho.Na Mwandishi Maalum, TunduruWAKAZI wa kijiji cha Ligunga…
MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila amesema suala la kulipa kodi ni lazima kwani inasaidia nchi kutengeneza na kuboresha miradi mbalimbali…
Kutoka kushoto ni Rais William Ruto wa Kenya, ambaye ni Mwenyekiti wa EAC, na Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe, Mwenyekiti wa SADC, kulia ni…
Na Ashrack Miraji Fullshagwe Media Mjumbe wa Timu ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Legal Aid (MSLAC) Bi.Angelina Sampa amesema mwanamke…
Jina langu ni G kutokea Morogoro, kwa miaka ninajishughulisha na kazi ya ujenzi ambayo kwa sehemu kubwa imebadilisha sana maisha yangu kutoka kuwa kijana…
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza kwenye Kikao cha Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja…
*Dodoma Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa, amewataka watendaji na watumishi wa Wizara ya Madini na taasisi zake kuongeza bidii na ufanisi katika…