Saturday, October 3, 2026

fullshangwe

Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.

31540 Stories
WASIRA : CCM TUTASHIKA DOLA KWA KURA ,SI BUNDUKI

WASIRA : CCM TUTASHIKA DOLA KWA KURA ,SI BUNDUKI

Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara Stephen Wasira amesema katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu Chama kitaendelea kushika dola…

DKT. ABBASI AHIMIZA MALIKALE KIDIJITALI

DKT. ABBASI AHIMIZA MALIKALE KIDIJITALI

……………………….. Na Sixmund Begashe – Dar es Salaam Wadau wa Malikale nchini wametakiwa kujadili marekebisho ya kanuni za Malikale na Makumbusho bila kusahau namna…

RAIS SAMIA APELEKA SHANGWE KWA WANANCHI WA KIJIJI CHA KILINDI NA BARABARA WILAYA YA MBINGA,BAADA YA KUTOA FEDHA ZA UJENZI WA MRADI WA MAJI YA BOMBA

RAIS SAMIA APELEKA SHANGWE KWA WANANCHI WA KIJIJI CHA KILINDI NA BARABARA WILAYA YA MBINGA,BAADA YA KUTOA FEDHA ZA UJENZI WA MRADI WA MAJI YA BOMBA

Fundi anayejenga mradi wa maji wa Kilindi-Barabara kata ya Matiri Halmashauri ya Wilaya Mbinga Mkoani Ruvuma Stanley Mlelwa wa pili kushoto akimuonyesha Mwenyekiti wa kijiji cha Barabara Ebhati Kapinga wa pili kulia,maji ya bomba yatakayosambazwa kwa Wakazi wa kijiji na Kilindi wapatao zaidi ya 3,800  ambao tangu Uhuru hawajawahi kupata maji ya bomba,kulia Afisa Uhusiano wa Ruwasa Mkoa wa Ruvuma Geddy Ndimbo(Picha na Muhidin Amri). Fundi anayejenga mradi wa maji wa Kilindi-Barabara kata ya Matiri Halmashauri ya Wilaya Mbinga Mkoani Ruvuma Stanley Mlelwa wa pili kushoto,na Afisa Uhusiano wa Ruwasa Mkoa wa Ruvuma Geddy Ndimbo kulia,wakimsikiliza Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Barabara kata ya Matiri Halmashauri ya Wilaya Mbinga Mkoani Ruvuma Ebhati Kapinga wa pili kulia,baada ya Serikali kupitia Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini(Ruwasa) kuanza kutekeleza mradi wa maji ya bomba utakaonufaisha Wakazi wa  kijiji hicho na Kilindi. Baadhi ya mabomba yatakayotumika kusambaza maji safi na salama kwa Wakazi wa…

MBINU YA KUTAJIRIKA KWA URAHISI KUPITIA BIASHARA

MBINU YA KUTAJIRIKA KWA URAHISI KUPITIA BIASHARA

Katika maisha yangu sikufanikiwa hata kumaliza elimu ya msingi kwani niliishia darasa la tatu, hiyo ni baada ya wazazi wangu kutengana hivyo nikaenda kuishi…