fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
RAIS DKT. SAMIA AZINDUA MRADI WA USAMBAZAJI MITUNGI YA GESI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza kutoa ruzuku…
MKUU WA MAJESHI AWAONGOZA WANANCHI RUVUNA MAADHIMISHO YA MIAKA 120 VITA VYA MAJIMAJI
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda amewaongoza maelfu ya wananchi wa Mkoa wa Ruvuma na maeneo jirani katika Maadhimisho ya Miaka…
RAIS SAMIA AITAKA REA KUUPA KIPAUMBELE MKAKATI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
*Azindua mradi wa usambazaji nishati safi ya kupikia *Sekta binafsi kupewa kipaumbele matumizi ya nishati safi kwa bei nafuu *Apongeza ubunifu wa teknolojia za…
MAKAMU WA RAIS AKIWASILI NCHINI NAMIBIA KUSHIRIKI MAZISHI YA DKT SAM NUJOMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako mjini…
SERIKALI KUENDELEA KUTUNGA SERA WEZESHI USHIRIKI WA SEKTA BINAFSI NISHATI SAFI YA KUPIKIA
*Rais Dkt.Samia aitaka Wizara ya Nishati kuendelea kusimamia Mkakati wa Nishati Safi ya Kupikia *Ataka umeme Vijijini uwe zaidi ya kuwasha taa na kuchaji…
TANZANIA YATAKA KUANZISHWA CHOMBO CHA KUWEZESHA UPATIKANAJI WA FEDHA
Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja akichangia hoja katika majadiliano katika sehemu ya pili ya Mkutano wa 16 wa Nchi…
MONGELA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MIILI YA WATU WANNE WA AJALI MBEYA
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu John Mongella, leo tarehe 27 Februari 2025 ameongoza shughuli ya kuaga miili ya marehemu…
RAIS WA ZANZIBAR DKT. MWINYI AFUNGUA KONGAMANO LA BIASHARA KATI YA ZANZIBAR NA UMOJA WA ULAYA ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizundua Ripoti ya Umoja wa Ulaya ya Uwekezaji Zanzibar na (kulia) Balozi…