fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
RAIS SAMIA AWAANDALIA IFTAR WAZEE WA ARUSHA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na viongozi kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini, wazee wa Mkoa…
RAS DODOMA AMPONGEZA DED MILLAO KWA KUGHARAMIA MATIBABU YA MWANAFUNZI ABUYASILI
Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma Ndg.Kaspar Mmuya amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa Ndg.Shaban Millao kwa kufanya maamuzi ya haraka…
SERIKALI INA DHAMIRA YA KUJENGA TANZANIA JUMUISHI, YENYE USTAWI NA HAKI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ina dhamira ya kujenga Tanzania jumuishi, yenye ustawi na haki…
“HAKUNA MWENYE UWEZO WA KUSAMEHE MADENI YA KODI” – CG MWENDA
Kufuatia kukamatwa na Jeshi la Polisi kwa Watuhumiwa wawili wanaodaiwa kufanya udanganyifu kuwa wao ni maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kuwa…
MKUU WA WILAYA YA SUMBAWANGA AWATAKA WANAWAKE KUACHA WOGA
Baadhi ya wanawake kutoka katika taasisi mbalimbali walioshiriki katika maandamano ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani Na Neema Mtuka Sumbawanga, Rukwa:Mkuu wa wilaya…
WAFANYAKAZI WANAWAKE NHC WASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Wafanyakazi wanawake wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wameungana na wanawake wa Mkoa wa Dar es Salaam kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika…
“HAIWEZEKANI ANIFANYIE HIVI ALAFU ANIACHE” MDADA ASIMILIA
Jina langu ni Aisha kutoka Tanga nchini Kenya, kipindi cha nyuma nilikuwa kwenye uhusiano na kijana mtanashati kweli kweli, kila mwanamke mwenye afya njema,…
WANAWAKE TTCL WASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE DUNIANI 2025 JIJINI ARUSHA
Arusha, Machi 8, 2025 – Wanawake wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wameungana na maelfu ya wanawake kutoka sekta mbalimbali kushiriki katika maadhimisho ya…
RAIS SAMIA: TANZANIA IMEPIGA HATUA KUBWA KATIKA USAWA WA KIJINSIA
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa kupitia…