fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
MONGELLA ATOA WITO WA AMANI KWA WANA~CCM UCHAGUZI MKUU 2025
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu John Mongella, amewataka wanachama wa chama hicho kudumisha amani na utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu…
WAZIRI MHAGAMA AWASILISHA UJUMBE WA RAIS SAMIA KWA RAIS WA ZAMBIA
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama leo Machi 25, 2025 amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia…
RAIS SAMIA ASHIRIKI IFTAR NA VIONGOZI WA SERIKALI, DINI NA MAKUNDI MBALIMBALI PEMBA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na Viongozi wa Siasa, Serikali, dini na makundi maalum kwenye Iftar…
TRA WILAYA YA ULANGA YATOA ELIMU YA MLIPA KODI KWA KAMPUNI YA MITIKI
FARIDA MANGUBE, MOROGORO Katika jitihada za kuimarisha ulipaji kodi kwa hiari na kuhakikisha matumizi sahihi ya mashine za EFD, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)…
UJUMBE KUTOKA ZANZIBAR WAJIFUNZA MBINU MPYA POLISI UTALII ARUSHA
Na. Abel Paul, Jeshi la Polisi Arusha. Ujumbe kutoka Idara ya Utalii na mambo ya kale Zanzibar katika kuhakikisha wanaendelea kutoa huduma bora kwa…
MAAMBUKIZI YA KIFUA KIKUU YASHUKA KWA 40%
Na WAF, ARUSHA Tanzania imepunguza maambukizi mapya ya ugonjwa wa Kifua Kikuu kwa asilimia 40 hatua inayoiweka nchi katika mwelekeo sahihi wa kufanikisha lengo…
MVUA ILIYOAMBATANA NA UPEPO YALETA MAAFA MUSOMA
Mvua kubwa iliyonyesha ikiambatana na upepo mkali pamoja na radi imeezua mapaa ya Nyumba pamoja na kuharibu miundombinu ya umeme katika Manispaa ya Musoma…
TANESCO KUIMARISHA HUDUMA MAENEO YALIYOPATA MAAFA MUSOMA
Meneja wa Tanesco Mkoani Mara Nickson Babu amewatoa hofu wakazi katika Manispaa ya Musoma waliokumbwa na maafaa ya Nyumba kuezuliwa na upepo kuwa shirika…
WASIRA : CCM KWA NAFASI YA URAIS TUMESHINDA MTIHANI
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira na Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe…