fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
MZUMBE YAWAJENGEA UWEZO WANAFUNZI WAKE JUU YA UJASIRIAMALI NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA
Mkuu wa Mafunzo Peak Performance International ,Tanzania Ikunda Kisamo akizungumza jambo wakati akifundisha wanafunzi wa Chuo Kikuu Mzumbe, Ndaki ya Dar es Salaam, Kituo…
BENKI YA EXIM YAKABIDHI MADARASA KWA SHULE MBILI ZA SEKONDARI MKOANI KIGOMA
Mkuu wa wilaya ya Buhigwe, Kanali Michael Ngayalina (kulia), ambaye alimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Kigoma na Bw. Stanley Kafu (kushoto), Mkuu wa Masoko…
BALOZI NCHIMBI AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU CCM MKOA WA MARA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Mara, kwenye…
DC KUBECHA ASEMA HEKIMA YA WAZEE NGUZO YA MAENDELEO YA TANGA
Na Ashrack Miraji Fullshangwe Media Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Mheshimiwa Japhari Kubecha, amefanya kikao maalum na wazee wa Tanga Asili ikiwa ni sehemu…
MAJAJI WA MAHAKAMA YA RUFAA WAPEWA ELIMU KUHUSU MILIKI BUNIFU
Amidi na Jaji wa Mahakama ya Rufani, Mheshimiwa Augustine Mwarija akizungumza na waandishi wa habari kando ya warsha hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Julius…
WAZIRI MAVUNDE: AELEKEZA KUPITIWA UPYA UTARATIBU WA MALIPO YA MRABAHA KWA MADINI YA METALI
*Aelekeza mrabaha utozwe kutokana na bei ya sehemu ya soko la ununuzi *Utaratibu mpya kuwezesha Malipo ya mrabaha ya madini yanayoenda viwandani kulipwa baada…
TUME YAMADINI SUMBAWANGA YATAKIWA KUWASIMAMIA WAWEKEZAJI ILI KUONGEZA MAPATO YA KODI
Mkuu wa wilaya ya Sumbawanga wakati akizungumza na mhandisi wa tume ya madini mkoa wa Rukwa Picha na Neema Mtuka ………….. Na Neema Mtuka,…
PICHA : WAZIRI MKUU MAJALIWA AKIWA BUNGENI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu, bungeni jijini Dodoma, Aprili 23, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri…
RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI KUHUSU MABADILIKO YA TABIANCHI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi…