Sunday, October 11, 2026

fullshangwe

Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.

31796 Stories
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA MWAKA 2025 AZINDUA MRADI WA MAJI MALAMBA WILAYANI MTWARA

KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA MWAKA 2025 AZINDUA MRADI WA MAJI MALAMBA WILAYANI MTWARA

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa  Mwaka 2025 Ismail Ali Ussi,akizindua mradi wa Maji Malamba utakaowanufaisha Wananchi zaidi ya 2,463 wa Vijiji vya Malamba na Mkuranga Halmashauri ya Mji Nanyamba Mkoa wa Mtwara,kulia Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Abdala Mwaipaya. Baadhi ya Wakazi wa Kijiji cha Malamba Halmashauri ya Mji Nanyamba Mkoani Mtwara,wakisubiri  kupokea Mwenge wa Uhuru katika Kijiji hicho kwa ajili ya kuzindua mradi wa Maji. Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Mwaka 2025 Ismail Ali Ussi,akiangalia mchoro wa mradi wa maji Malamba Halmashauri ya Nanyamba Mkoa wa Mtwara kabla ya kutembelea na kuzindua mradi huo utakaowanufaisha zaidi ya Wananchi 2,463 wa Kijiji cha Malamba na Mkuranga,kushoto Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Abdala Mwaipaya na kulia aliyeshika fimbo Meneja wa Ruwasa Hamis Mashindike. Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa  Mwaka 2025 Ismail Ali Ussi,akifungua koki baada ya kuzindua mradi wa Maji Malamba Halmashauri ya Mji Nanyamba Mkoani Mtwara uliotekelezwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini(Ruwasa)Wilaya ya Mtwara ambao utahudumia zaidi ya Wananchi 2,463 wa Vijiji vya Malamba na Mkuranga,ushoto Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Abdala Mwaipaya. Muonekano wa vituo vya kuchotea maji vilivyojengwa kupitia Mradi wa Maji Malamba ambavyo vitanatoa huduma ya maji kwa Wananchi wa Kijiji  cha Malamba. Nyumba ya mashine(Pump House) ………. Na Mwandishi…