TANZANIA NA EU KUSHIRIKIANA SEKTA YA MALIASILI NA UTALII
Na Mwandishi Wetu-Dodoma Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii na Umoja wa Ulaya (EU) zimejadiliana kushirikiana katika…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Na Mwandishi Wetu-Dodoma Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii na Umoja wa Ulaya (EU) zimejadiliana kushirikiana katika…
NIRC:Igunga Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imeingia mkataba na mkandarasi mzawa kampuni ya Samota limited kujenga mradi wa skimu ya umwagiliaji…
“Tunataka watu waishi katika usawa na haki, huku tukikuza uchumi wa taifa,” Hayo amesema Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Katiba na Sheria Zanzibar,…
Mkuu wa Shule Kuu ya Afya ya Kinywa na Meno ,Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Dkt. Ferdinand Machibya (kushoto) akiwa…
*Uendelezaji wa Mradi kuanza rasmi Disemba 2025 *Ni mradi wa Madini Adimu utakaogharimu Bilioni 771 *Waziri Mavunde azindua zoezi la ulipwaji fidia wananchi 192…
Na Ashrack Miraji Fullshangwe Media Katika juhudi za kukuza michezo na kuendeleza vipaji vya wanafunzi, Benki ya NMB imetoa msaada wa jezi za mpira…
Waziri Mkuu Kassim akiweka jiwe la Msingi la ujenzi wa jengo la Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ‘Viwango Hause’ katika Hafla iliyofanyika kwenye viwanja…
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. John Jingu, ametaka huduma na elimu ya stadi za maisha zinazotolewa…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Kosovo kuja kuwekeza nchini…