fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
CP. WAKULYAMBA AWAPA SOMO ASKARI WA JU.
…………… Na Sixmund Begashe, Katavi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii anayeshughulikia masuala ya Uhifadhi, Kamishna wa Polisi (CP) Benedict Wakulyamba,…
TARURA YAPATA TUZO USHIRIKISHAJI JAMII KATIKA UJENZI WA BARABARA
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imetunukiwa tuzo maalum ya ushirikishaji jamii katika ujenzi wa barabara yaani ” People Centered Design Approach”.…
BUNGE LAPITISHA MUSWADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA YA SHIRIKA LA NYUMBA 2025
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Shirika la Nyumba la Taifa wa mwaka 2025.…
WAZIRI KOMBO ZIARANI NCHINI CHINA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili Beijing, China tarehe 9 Juni, 2025 kwa…
RAIS SAMIA KUPOKEA GAWIO LA KIHISTORIA, WACHUMI WATARAJIA MAKUBWA
Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, Jumanne, June 10, 2025 anatarajia kupokea gawio na michango mingine…
KUANDALIWE NAMNA BORA YA KUTOA ELIMU KWA JAMII ZA MPAKANI
Mkuu wa Wilaya ya Ngara Kanali Mathias Kahabi akizungumza wakati akifungua kikao cha kujadili mpango kazi wa uimarishaji mpaka wa Kimataifa kati ya Tanzania…
MAKAMU WA RAIS AHUTUBIA MKUTANO WA BAHARI WA UMOJA WA MATAIFA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia Mkutano wa Tatu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Bahari (UNOC3),…
MKOA WA NJOMBE WAPEWA MASHINE 20 ZA KUONGEZA VIRUTUBISHO KWENYE CHAKULA ILI KUKABILIANA NA TATIZO LA UDUMAVU
Wakurugenzi wa Halmashauri zote sita za Mkoa wa Njombe wametakiwa kusimamia kwa ukaribu mashine 20 za kuongeza virutubisho kwenye unga wa mahindi ili kuweza…
TARURA YAPATA TUZO USHIRIKISHAJI JAMII KATIKA UJENZI WA BARABARA
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imetunukiwa tuzo maalum ya ushirikishaji jamii katika ujenzi wa barabara yaani ” People Centered Design Approach”.…