fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
MAKAMU WA RAIS AKIFUATILIA KIKAO CHA MWISHO CHA BUNGE LA 12
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifuatilia Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.…
DKT. MPANGO: MIGOGORO YA KIMATAIFA INAPASWA KUWA FUNZO KWA AFRIKA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza wakati akihitimisha mjadala wa Wakuu wa Nchi na Serikali pamoja…
RAIS DKT. SAMIA : HALI YA UCHUMI WA TAIFA IMEZIDI KUIMARIKA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano…
RAIS SAMIA AMPONGEZA DKT. TULIA: “HAKIKA HAUJATUANGUSHA WANAWAKE WENZIO”
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempongeza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais…
MBUYU WENYE TASWIRA YA BIKIRA MARIA KIVUTIO KIPYA HIFADHI YA TAIFA YA SAADANI
Kaimu mhifadhi mkuu wa hifadhi ya Saadani akizungumza kuhusu upekee wa hifadhi hiyo. Picha na Musa Mwangoka Mti aina ya mbuyu ambao upo ndani…
WADAU WAJADILI UHUISHAJI MITAALA YA CHUO CHA ARIDHI TABORA
Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) kinaendelea kuhuisha mitaala yake ili kukidhi mabadiliko ya uhitaji wa soko kwa kuandaa wataalam wa sekta ya Ardhi kwa…
TARURA KIGAMBONI YAANZA UJENZI WA BARABARA ZA LAMI KM 42 KUPITIA MRADI WA DMDP II
Dar es Salaam Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umeanza kutekeleza ujenzi wa barabara Km 42 kwa kiwango cha lami kupitia mradi…
DKT. KIMAMBO: MAAFISA USTAWI WA JAMII MUHIMBILI ZINGATIENI WELEDI, UPENDO NA MOYO WA HURUMA KWA WAGONJWA
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili,(MNH) Dkt. Delilah Kimambo, amewataka watumishi wa ustawi wa jamii hospitalini hapo kuzingatia weledi na kuonyesha moyo wa…
KITETO YANUFAIKA NA MIRADI YA MAENDELEO YA BILIONI 156.4 – OLE LEKAITA
Na mwandishi wetu, Kiteto MBUNGE wa Jimbo la Kiteto Mkoani Manyara, anayemaliza muda wake wakili msomi Mhe Edward Ole Lekaita Kisau amesema wananchi wa…