fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
ENG COSTANTINO MTWEVE ACHUKUA FOMU YA UBUNGE LUDEWA
Aliyekuwa mkurugenzi wa Younglife International kanda ya Tanzania mhandisi Costantino Victor Mtweve amechukua fomu ya kuwania ubunge wilaya ya Ludewa kwa tiketi ya chama…
KAMISHNA KUJI: IMARISHENI UTENDAJI KAZI NA UWAJIBIKAJI ILI KUFANIKISHA ULINZI IMARA WA MALIASILI
Na Philipo Hassan – Hifadhi ya Taifa Mikumi Kamishna wa Uhifadhi Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), CPA (T) Musa Nassoro Kuji, amewaelekeza…
NAIBU MAKAMU MKUU WA MUHAS ATEMBELEA BANDA LA TAASISI HIYO MAONESHO YA SABASABA
Profesa Erasto Mbughi Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Mipango, Fedha na Utawala akipata maelezo kutoka kwa…
BODI YA BIMA YA AMANA IKO TAYARI KATIKA MAONESHO YA SABASABA
Nkanwa Magina Meneja Uendeshaji Bodi ya Bima ya Amana akitoa maelezo kwa wageni mbalimbali waliotembelea banda la taasisi hiyo Leo Juni 30, 2025 katika…
KYOMBO ATANGAZA KUTETEAKITI CHA UBUNGE MISSENYI
Na Silivia Amandius Missenyi, Kagera. Mbunge wa Jimbo la Missenyi, Mhe. Florent Kyombo, ametangaza rasmi nia ya kuwania tena ubunge wa jimbo hilo kupitia…
NMB YASOGEZA HUDUMA SABASABA KUIMARISHA UJUMUISHWAJI WA KIFEDHA
Mwandishi Wetu – Dar es Salaam Benki ya NMB imeendelea kudhihirisha dhamira yake ya kuwa karibu na wananchi kwa kusogeza huduma zake moja kwa…
WAZIRI WA UCHUKUZI SOMALIA AFANYA ZIARA TCAA
Waziri wa Uchukuzi wa Anga wa Jamhuri ya Somalia, Mhe Mohamed Nuh Juni 30, 2025 amefanya ziara katika Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania…
UMMY NDERIANANGA ACHUKUA FOMU UBUNGE VITI MAALUMU WANAWAKE WENYE ULEMAVU
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Wenye Ulemavu Ummy Nderiananga Juni 30,2025 amechukua fomu ya kugombea Ubunge Viti Maalum kundi la Wanawake Wenye…
WANANCHI WATAKIWA KUFAHAMU MNYORORO WA UGAVI
Afisa Ugavi Mwandamizi wa Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma, Bi. Vaileth Mwakajisi (wa pili kulia) akipewa mkono wa pongezi na Msanii wa…