WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA UGANDA AWASILI NCHINI TANZANIA
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Uganda, Mheshimiwa Robinah Nabbanja, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Uganda, Mheshimiwa Robinah Nabbanja, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika…
Rais wa Jamhuri ya Nigeria Mheshimiwa Bola Ahmed Tinubu , amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kilele wa Wakuu…
*Awataka Wana-CCM kujiandaa na Uchaguzi Mkuu *Asema Wana-CCM wanaowajibu wa kueleza kwa watanzania utekelezaji wa Ilani WAZIRI MKUU, amewasisitiza Watanzania wote kushirikiana na Serikali…
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kushoto) akisalimiana na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Afrika Mashariki,…
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa wa Ujenzi na Uchukuzi wa Jamhuri ya Namibia Mheshimiwa John Mutorwa, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili…
Na Joseph Mahumi, WF, Dar es Salaam. Rais wa Benki ya Dunia (WBG), Bw. Ajay Banga amewasili nchini mchana wa leo tarehe 26 Januari…
Na WAF – Dar es Salaam Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama, leo amefanya ziara hospitali Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Taasisi ya Moyo…
Na Philomena Mbirika, Tanga Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) imezindua Kampeni ya kuhamasisha utalii wa ndani katika mapango ya amboni Tanga…