John Bukuku
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
DCEA YATOA MAFUNZO MAALUM KWA WATOTO WA MTAANI JIJINI ARUSHA
Na Prisca Libaga Arusha Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini kwa kushirikiana na Kituo cha Kulea Watoto…
BAKWATA YAKUSANYA MILIONI 40.5 ZA UJENZI VITUO VYA AFYA BADRI DAY
NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA BARAZA Kuu la Waislamu (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza, katika kusherehekea siku ya Badri (Badri Day), limefaniwa kukusanya zaidi ya sh.milioni…
TANZANIA NA MISRI KUPANUA WIGO WA USHIRIKIANO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) wamekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje,…
TANZANIA NA MISRI KUKUZA USHIRIKIANO KATIKA BIASHARA NA UWEKEZAJI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Mambo ya Nje, Uhamiaji na Wamisri Waishio…
MAJALIWA: SERIKALI ITAIMARISHA USHIRIKIANO NA VIONGOZI WA DINI KATIKA KUKUZA MAADILI YA JAMII
Na Silivia Amandius. Kagera: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, amesema Serikali inatambua na kuthamini mchango mkubwa wa Kanisa…
MHE. WASIRA KUFANYA ZIARA YA SIKU TATU KAGERA KUFUATILIA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI
Na Silivia Amandius, Kagera. Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Mhe. Stephen Masato…
SERIKALI YAENDELEA KUIMARISHA UPATIKANAJI WA BIDHAA ZA AFYA KUPITIA BOHARI YA DAWA
Na John Bukuku Serikali kupitia Bohari ya Dawa (MSD) imeendelea kuimarisha upatikanaji wa bidhaa za afya katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini,…
TANZANIA MLANGO WA MATAIFA MENGINE KUJIFUNZA UCHIMBAJI MDOGO
*Na Wizara ya Madini* *Utangulizi* Tanzania imefanikiwa kuwa kivutio cha mataifa mengine Barani Afrika kujifunza kuhusu shughuli za uchimbaji mdogo na usimamizi wa Sekta…
SERIKALI KUIMARISHA UWEZO WA MAWAKILI KATIKA MIKATABA NA USULUHISHI WA MIGOGORO
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza Johari, akizungumza jijini Dar es Salaam leo Machi 19, 2025. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, akizungumza jijini…