WAZIRI MKUU AFUNGUA KIKAO CHA KAMATI YA KITAIFA YA SENSA YA WATU NA MAKAZI
Waziri Mkuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Kikao cha Kamati ya Kitaifa…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Waziri Mkuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Kikao cha Kamati ya Kitaifa…
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Baraza la Biashara Mkoa huo lililozinduliwa Februari 25,2023 jijini Dodoma. KATIBU Tawala Mkoa…
Na. Majid Abdulkarim, Mpimbwe–Katavi Serikali kupitia Wizara ya Afya imeelekeza wazazi na walezi Mkoani Katavi kupeleka watoto wote wenye umri chini ya miaka mitano …
MKUU wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule,akizungumza na waandishi wa habari leo Februari 24,2023 jijini katika Mwendelezo wa Programu maalumu ya kuelezea mafanikio…
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda leo Februari 24, 2023 jijini Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa…
Na.Mwandishi Wetu-NJOMBE Serikali mkoani Njombe imeingia mikataba yenye thamani ya zaidi ya bil 2.2 na makampuni matatu ya Kitanzania ya ujenzi wa miradi mitatu…
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na wananchi na walengwa wa TASAF wa…
Na.Mwandishi Wetu-NJOMBE Jumla ya miradi 12 kati ya 16 ya ujenzi wa maendeleo katika mkoa wa Njombe imekutwa na kasoro mbalimbali katika utekelezaji wake…
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imekutana na kufanya kikao na viongozi mbalimbali wanaolizunguka Pori la Akiba Kilombero tarehe 23 Februari, 2023, Mkoani…