WARATIBU HUDUMA NDOGO ZA FEDHA WAPIGWA MSASA
Kamishna Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Sekta ya Fedha, Bi. Dionisia Mjema akifafanua jambo wakati wa mafunzo ya waratibu wa biashara ya huduma…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Kamishna Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Sekta ya Fedha, Bi. Dionisia Mjema akifafanua jambo wakati wa mafunzo ya waratibu wa biashara ya huduma…
NA STEPHANO MANGO, SONGEA MKUU wa Wilaya ya Songea Mkoani Ruvuma Wiliman Ndile amewataka wakazi wa Wilaya hiyo kutumia mfumo wa kibenki kwa njia…
Shirika la Maendeleo ya Wanawake (Forum for Women and Development- FOKUS) la nchini Norway limeahidi kuendelea kufadhili shughuli zinazotekelezwa na shirika la kutetea haki…
Waziri wa Nishati, January Makamba (kushoto) akiongoza kikao kuhusu maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa kusindika Gesi Asilia( LNG), kilichowashirikisha Wawekezaji watakaotekeleza Mradi huo…
Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Tinginya Halmashauri ya wilaya Tunduru mkoani Ruvuma waking’oa mti ili kupisha ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule…
Afisa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Singida, Hashim Mkwayu akizungumza na mawakala wa mabasi Stendi Kuu ya Mabasi Misuna wakati…
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ametoa mifuko ya saruji 400 yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni 8 kwa ajili ya kusaidia ujenzi…
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameishauri serikali kuanzisha kanda maalum ya kilimo ili kuwezesha zao kulimwa kwenye mkoa husika unaostahmili zao hilo. Akichangia…
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu Mei 8,2023,amekabidhi vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya Shilingi Milioni 1.8 kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa…