GGML KILI CHALLENGE-2023 KUKUSANYA BILIONI 2 KUDHIBITI VVU/UKIMWI
Makamu Rais wa AngloGold Ashanti- GGML anayesimamia miradi endelevu kwa upande wa Ghana na Tanzania, Simon Shayo akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa harambee…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Makamu Rais wa AngloGold Ashanti- GGML anayesimamia miradi endelevu kwa upande wa Ghana na Tanzania, Simon Shayo akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa harambee…
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Switbert Mkama wakati akifungua Warsha ya siku mbili ya kujadili Matokeo ya Mkutano wa…
Meneja wa Chama Kikuu cha ushirika wilaya ya Tunduru(TAMCU LTD)Iman Kalembo akizungumza katika moja ya vikao vya kazi. Na Muhidin Amri, Tunduru MKUU wa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Julius Mtatiro,amewaagiza viongozi wa Chama kikuu cha Ushirika wilayani humo Tamcu Ltd,kuanza minada ya zao la ufuta ili kuwasaidia wakulima kupata soko la uhakika na bei nzuri. Alisema,kuanza kwa minada kutazuia wafanyabiashara wasiokuwa waaminifu kwenda kwa wakulima ili kununua zao hilo kwa mfumo usiokuwa rasmi wa kangomba unaowakandamiza na kuwanyonya wakulima. Mtatiro ametoa agizo hilo jana, wakati akizungumza na wenyeviti wa vyama vya ushirika vya msingi(Amcos)na viongozi wa Chama kikuu cha Ushirika(Tamcu)katika kikao kazi kabla ya kuanza kwa msimu wa ununuzi wa mazao wilayani humo.…
Na Eleuteri Mangi, WUSM, Dodoma Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ameungana na Watanzania kuipongeza klabu ya Yanga kwa…
SERIKALI imemuhakikishia Mbunge wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu kuwa itatekeleza ahadi yake ya kujenga barabara ya Singida – Kwamtoro-Handeni yenye urefu wa kilomita 462…
Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Nelson Bukuru,akizungumza wakati akifungua mafunzo ya siku moja ya wasimamizi wa dawa za tiba zenye asili…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua Huduma ya Upandikizaji Uloto (Bone Marrow Transplatation) katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma, Mei 10, 2023. Wengine…
WAWAKILISHI Pekee katika Kombe la Shirikisho barani Afrika Timu ya Yanga SC imejiweka nafasi nzuri ya kutinga Fainali ya Michuano hiyo baada ya kupata…
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Manyara, Peter Toima (kushoto) akivishwa zawadi ya vazi la jadi na Diwani wa Kata ya Loiborsiret Wilayani Simanjiro, Ezekiel…