Alex Sonna
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
WMA YATAKA WAUZAJI MITUGI YA GESI INAYOTUMIKA MAJUMBANI KUWA NA MIZANI
AFISA Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA) Bi. Stella Kahwa, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Agosti 15,2023 jijini Dodoma…
USAWA KIJINSIA SIO KUKANDAMIZA KUNDI FULANI- DKT. JINGU
Katibu Mkuu, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt John Jingu,akizungumza wakati akifungua Kikao kazi kilicho wakutanisha Maafisa wa Madawati…
RAIS SAMIA AWASIHI VIONGOZI WA DINI KULINDA MAADILI KWA VIJANA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasikiliza Watoto wa Shule ya Msingi Maalum ya Buigiri iliyopo Wilayani Chamwino…
CDC, AMREF HEALTH AFRICA TANZANIA WAKABIDHI VIFAA VYA UTAMBUZI WA VIDOLE ‘BIOMETRIC FINGERPRINT’ MIKOA YA MARA & SIMIYU
Mkurugenzi Mkazi wa Kituo Cha Kudhibiti Magonjwa Nchini Marekani (CDC) Tanzania Dk. Mahesh Swaminathan (kushoto) akikabidhi vifaa vya utambuzi wa vidole (Biometric fingerprint) kwa Kaimu Katibu…
SERIKALI YAPONGEZA MGODI WA BARRICK BULYANHULU KUENDESHA SHUGHULI ZAKE KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA
Picha ya pamoja ya Maofisa Waandamizi kutoka Wizara ya Madini na Wafanyakazi wa Barrick Bulyanhulu wakati walipofanya ziara mgodini hapo
TOSCI KUTUMIA SH.BILIONI 12.6 KUTEKELEZA SHUGHULI MBALIMBALI
Mkurungezi Mkuu wa Taasisi ya kuthibiti ubora wa mbegu Tanzania (TOSCI) Bw.Patrick Ngwediagi, akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 15,2023 jijini Dodoma kuhusu…
SERIKALI KUTUMIA HELIKOPTA KUWAONDOA TEMBO NACHINGWEA LINDI
Dr Emmanuel Masenga mtafiti Mkuu TAWIRI akitoa maelezo Kwa viongozi mbalimbali akiwepo mkuu wa wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo na kamishna mwandamizi na…
ANUSURIKA KIFUNGO CHA MAISHA JELA BAADA YA KUKIRI KOSA MBELE YA JAJI
Na Lucas Raphael,Tabora Mkazi wa kijiji cha Mhungulu Mwangohe Wilayani Nzega Mkoani Tabora Amosi Matias (35) amenusurika kifungo cha maisha jela baada ya kukiri…
PEPFAR YAJIVUNIA MIAKA 20 KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA VVU KWA WATOTO, WANAUME WENGI KUFANYIWA TOHARA
Mratibu wa Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kukabiliana na UKIMWI (PEPFAR) nchini Tanzania Bi. Jessica Greene Na Kadama Malunde – Malunde 1…