Alex Sonna
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
SARE YAFUFUA MATUMAINI YANGA SC LIGI YA MABINGWA
SARE ya Yanga SC imefufua Matumaini ya kutinga hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika baada ya kutoka sare ya kufungana…
ZAIDI YA FAMILIA 760 HANANG ZAPATIWA ELIMU YA KUJIKINGA NA MAGONJWA YA MLIPUKO.
Na. WAF, Hanang Serikali imesema Wahudumu wa Afya ngazi ya Jamii wametoa elimu kwa Familia zaidi ya 760 juu ya kutumia dawa ya kutibu…
MGODI WA MWADUI WAPANDIKIZA VIFARANGA VYA SAMAKI BWAWA LA MWANG’HOLO
Katibu Tawala wilaya ya Kishapu Fatma Mohamed akizindua zoezi la upandikizaji Vifaranga vya Samaki katika Bwawa Jipya la Mwang’olo. Muonekano wa Vifaranga…
TBA YAANZA KUONDOA WADAIWA SUGU JIJINI DODOMA
WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Twins Auction Mart wakitoa vitu vya wadaiwa sugu katika eneo la Area D jijini Dodoma ikiwa ni mwendelezo wa opareshini…
WAHITIMU WA MAFUNZO YA JKT WATAKIWA KUTAMBUA THAMANI ZAO
Waziri wa Kilimo Mhe Hussein Bashe ,akikagua Gwaride wakati akifunga mafunzo ya Jeshi la kujenga Taifa (JKT), kundi maalum BBT Jenga kesho iliyo bora…
LUHEMEJA: MAONESHO YA NGUVU KAZI/ JUA KALI KUFUNGUA FURSA ZA MASOKO KWA WAJASIRIAMALI
Na; Mwandishi Wetu – Bujumbura, BURUNDI Maonesho ya 23 ya Wajasiriamali Wadogo na wa Kati wa Jumuiya ya Afrika Mashariki maarufu Nguvu Kazi/Jua Kali…
WiLDAF YAKABIDHI TUZO KWA MABINGWA 16 WA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA
Vinara 16 wa Kupambana Dhidi ya Ukatili wa Kijinsia 2023. Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Shirika la Wanawake katika Sheria…
KAMPUNI YA ZAM SEED YAKABIDHI MSAADA WA MBEGU KWA WAKULIMA WALIOATHIRIWA NA MAFURIKO
Ferdinand Shayo ,Manyara Kampuni ya kuzalisha mbegu ya Zam Seed imetoa msaada wa tani 2 za mbegu za mahindi ili kuwasaidia wakulima walioathiriwa…