Alex Sonna
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
TAASISI YA USULUHISHI WA MALALAMIKO NA TAARIFA ZA KODI YAZINDULIWA JIJINI DODOMA
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (Kushoto), akimkabidhi mwongozo wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi, Sura ya 438 kwa Msuluhishi wa…
WANACHAMA KLABU YA MAADILI SHULE YA MSINGI CHADULU JIJINI DODOMA WASHIRIKI ZOEZI LA UPANDAJI MITI
Wanachama wa klabu ya Maadili ambao ni wanafunzi kutoka Shule ya msingi Chadulu jijini Dodoma, Mwanyama Boniface na Brown Liberty pamoja na mlezi…
PROF. NDALICHAKO AHIMIZA USHIRIKIANO WA KUWAINUA VIJANA KIUCHUMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akizungumza wakati wa hafla ya mapokezi ya…
MTENDAJI MKUU DAWASA AWATOA MASHAKA WANANCHI UPATIKANAJI WA MAJI MAENEO YALIYOATHIRIKA NA MVUA
NA VICTOR MASANGU,KIMARA Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) Ndugu Kiula Kingu ametembelea na…
SERIKALI YAFANYA MABADILIKO YA UONGOZI WA HOSPITALI YA RUFAA YA TANGA-BOMBO.
Serikali kupitia Wizara ya Afya imefanya mabadiliko ya kiuongozi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga-Bombo ikiwa na lengo la kuhakikisha inaendelea kuboresha…
TUSHIRIKIANE KUDHIBITI ATHARI ZA KIAFYA ZINAZOTOKANA NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI.
Na WAF Geneva, Uswisi Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu ametoa wito kwa Shirika la Afya Duniani WHO kushirikiana na kujenga…
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KWENYE MKUTANO WA KUNDI LA G77 NA CHINA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na mshauri mkuu wa masuala ya fedha kutoka Kituo cha Kusini, Yuefen Li, ambacho ni Muunganiko wa Serikali kwenye…
MTATURU:WAFANYABIASHARA LINDENI AMANI
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu amefanya kikao na wafanyabiashara wa mji wa Ikungi lengo likiwa ni kusikiliza kero zao na kuzitafutia ufumbuzi kupitia…