Alex Sonna
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
WAZIRI MAVUNDE AIPONGEZA BODI, MENEJIMENTI KWA KUING’ARISHA STAMICO
Waziri ya Madini, Mhe.Anthony Mavunde,akiipongeza Bodi ya Wakurugezi ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO),mara baada ya kufanya kikao cha pamoja na bodi hiyo…
TANZANIA YAPOKEA MSAADA WA Sh. TRIL 1.4 KUTOKA GLOBAL FUND
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameki Nchemba Madelu (Mb), (kushoto) na Mkuu wa Global Fund- Afrika, Bw. Linden Morrison wakibadilishana Hati za Mikataba…
WIZARA YA AFYA YAPOKEA MSAADA WA TRILIONI 1.4 KUTOKA GLOBAL FUND
Na. WAF – Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imepokea msaada wa kiasi cha Tsh. Trilioni 1.4 kutoka Global FUND ili kutekeleza afua mbalimbali…
WANANCHI WAPATAO ELFU 83,000 KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI VIJIJI 57 KYERWA
NAIBU Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) amesema Serikali imeanza utekelezaji wa mradi wa maji katika vijiji 57 Wilayani Kyerwa. Amesema hadi…
WAPONA SIKOSELI BAADA YA KUPANDIKIZWA ULOTO
Hospitali ya Benjamin Mkapa Jijini Dodoma imeandika historia ya watoto watatu kupona ugonjwa wa Sikoseli baada ya kuwafanyia matibabu ya upandikizaji wa Uloto. Hayo…
KISHINDO KIKUBWA KUWEKWA WAKFU NA KUSIMIKWA KWA ASKOFU JOVITUS MWIJAGE WA JIMBO LA BUKOBA
Askofu Mwijage (katikati) mwenye fimbo akiwa na baadhi ya maaskofu waliohudhuria ibada hiyo TAZAMA VIDEO Msemo wa kihaya usemeo “Tikiliwa Igamba”ambalo tafsiri yake ni “Tukio ambalo…
SAFARI WANA KAGERA KWENDA KIZIMKAZI ZANZIBAR KWA RAIS SAMIA YAPAMBA MOTO
Mwenyekiti wa taasisi ya Mtetezi wa Mama mkoa Kagera ndg Kauthari Chamani (kushoto) akikabidhi mchango wa kufanikisha safari ya Zanzibar kwa mratibu mkuu wa…
CHATANDA AWATAKA WABUNGE WANAWAKE WA CCM KUTIMIZA WAJIBU WAO KATIKA KUWATUMIKIA WANAWAKE NA WANANCHI
Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda,akizungumza katika Mkutano na Wabunge wanawake wa CCM Nchi nzima leo Januari 30,2024 jijini Dodoma. Mwenyekiti…
SERIKALI YAWALIPA WAZABUNI TRIL 2.1 KWA MWAKA 2016 HADI 2023
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akijibu swali la Mbunge wa Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina, kuhusu kiasi cha fedha ambacho Serikali…