WAZIRI LUGOLA AONGOZA KIKAO CHA TUME YA UTUMISHI YA POLISI, UHAMIAJI NA MAGEREZA JIJINI DODOMA, LEO
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Polisi, Uhamiaji na Magereza wakati wa kikao…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Polisi, Uhamiaji na Magereza wakati wa kikao…
Ndege maalum ya Jeshi la Kenya iliyobeba Dhahabu ya Tanzania iliyokamatwa Kenya ikiwasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar…
Baada ya wanafunzi wa shule ya msingi Kambarage yenye mchanganyiko na wenye ulemavu iliyopo halmashauri ya mji wa Njombe kueleza hisia zao mbele ya…
Mkuu wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma,Sosthenes Kibwengo,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dodoma…
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) akiwa kwenye chumba cha pampu za kusukumia maji za Mradi wa Maji wa Chankorongo katika Halmashauri…
Si wengine ni hile bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni ,inayoongozwa na mwanamuziki Kamanda Ras makunja wenye…
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Juliana Shonza akizungumza na wanamichezo (hawapo pichani) Julai 23,2019 wakati wa alipofungua wa mashindano ya mpira…
Na.Alex Sonna,Dodoma Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dkt. Bashiru Ally,leo ametoa wito kwa wanachama wa chama hicho kuwapuuza wale watu wanaoendeleza…
Na.Alex Sonna,Kongwa Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Mhe Deo Ndejembi amesema vijana nchini wanapaswa kumuunga mkono Mhe Rais Dk John Magufuli kwa jinsi alivyowaamini…