Alex Sonna
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
DKT. KIJAJI AWAKALIA KOONI WALIOCHEPUSHA MABATI YA KIJIJI CHA BAMBARE WILAYANI KONDOA
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango ambae pia ni Mbunge wa Kondoa Vijijini Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Bambare…
DKT. ASHATU KIJAJI KUTATUA CHANGAMOTO YA MAJI KIJIJI CHA MWONGOLO KONDOA VIJIJINI
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango ambae pia ni Mbunge wa Kondoa Vijijini Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza na wananchi wa wa Kijiji cha…
JESHI LA POLISI DODOMA LIMEKAMATA LITA 2127 ZA MAFUTA ZIKISAFIRISHWA KIHOLELA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma ,Gilles Muroto,akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa kutokana matukio mbalimbali yaliyotokea mkoani…
ZRB YAFIKISHA MIAKA 20 KUANZISHWA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akimkabidhi cheti Mwanafunzi Ishaka Ali Dadi Skuli ya Fidel Castro Pemba…
TUME YA MADINI YAANZA USHIRIKI WAKE KATIKA MAONESHO YA MADINI GEITA
Mmoja wa wananchi waliotembelea banda la Tume ya Madini kwenye Maonesho ya Teknolojia na Uwekezaji wa Madini yanayoendelea mjini Geita akisaini kitabu cha wageni…
WAIOMBA WIZARA KUTILIA MKAZO UKATILI WA KIJINSIA KWA WATU WENYE ULEMAVU
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Bw. Patrick Golwike (kulia) akieleza namna Wizara itavyoshirikiana na kundi la watu wenye ulemavu katika kuandaa Sera,…
Maadhimisho ya Tamasha la JAMAFEST 2019 Jijini Dodoma
Watumishi wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo wakiwa katika maadhimisho ya Tamasha la Utamaduni na Sanaa (JAMAFEST) leo Septemba 21 Jijini Dodoma. Baadhi ya…
WAZIRI LUGOLA KUTATUA KERO ZA WAMILIKI, WAENDESHA VYOMBO VYA MOTO KUPITIA BONANZA KUBWA LA VIJANA MKOANI DODOMA KESHO
Na Mwandishi Wetu, MOHA WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Bonanza kubwa la Vijana litakalofanyika Chang’ombe…
TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA
KUPATIKANA NA SARE ZA JESHI LA POLISI NA MALI ZA WIZI. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia KELVIN MANYUSI [32] fundi umeme, mkazi…