Home Burudani Maadhimisho ya Tamasha la JAMAFEST 2019 Jijini Dodoma

Maadhimisho ya Tamasha la JAMAFEST 2019 Jijini Dodoma

0

Watumishi wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo wakiwa katika maadhimisho ya Tamasha la Utamaduni na Sanaa (JAMAFEST) leo Septemba 21 Jijini Dodoma.

Baadhi ya Vikundi vya ngoma vya Jijini Dodoma vikitumbuiza katika maadhimsho ya Tamasha la Utamaduni na Sanaa (JAMAFEST) leo Septemba 21 Jijini Dodoma.

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Utamaduni  Bibi Hadija Kisubi akizungumza katika maadhimsho ya Tamasha la Utamaduni na Sanaa (JAMAFEST) leo Septemba 21 Jijini Dodoma.