Alex Sonna
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, MEJA JENERALI JACOB KINGU AFANYA UKAGUZI WA UJENZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI JIJINI DODOMA
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu (Wa pili kushoto), akikagua ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya…
WAKULIMA MBOGA MBOGA NA MATUNDA WATAJA CHANGAMOTO ZINAZOWAKWAMISHA
Msimamizi wa Miradi wa taasisi ya TCRS mkoa wa Morogoro,Rehema Samweli, akizungumza na wakulima wa kijiji cha Diovuva, kata ya Kiloka, Halmashauri ya Morogoro…
Mradi wa Kilimo cha Umwagiliaji Uliotolewa na TASAF UkangeMakete Wafanikiwa Kuinua Kipato Kwa Wanufaika
Wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya masikini katika kijiji cha Ukange kata ya Lupila wilayani Makete mkoani Njombe wameipongeza TASAF kwa kuwapa mradi wa…
WASIOLIPA MIKOPO ‘KAZI SACCOS LTD’ KUBURUZWA MAHAKAMANI
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Bi.Esther Mwakilima,akizungumza wakati wa kufungua Mkutano Mkuu wa Viongozi ,Wafanyakazi na Wananchama…
DKT.NDUMBARO AIPONGEZA NISHATI KUWA YA KWANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora, Dkt. Laurian Ndumbaro( aliyesimama) akizungumza na washiriki wakati akifunga Kikao kazi…
TAMISEMI QUEENS YATINGA NUSU FAINALI LIGI YA MUUNGANO ZANZIBAR 2019
Na.Majid Abdulkarim Timu ya Mpira wa Pete ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI Queens) imefanikiwa kutinga hatua ya…
TAIFA STARS YAICHAPA 2-1 EQUATORIAL GUINEA MBIO ZA AFCON 2021
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TANZANIA imeanza vyema mbio za Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2021 baada ya kutoka nyuma…
WATOTO WAPATAO ELFU SITA WAISHI NA KUFANYA KAZI MITAANI NCHINI
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella akiongea na wadau pamoja na wataalam wa ustawi wa jamii mkoani Mwanza kwa lengo la kuweka mikakati…