Alex Sonna
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
LEONTINE NZEYMANE AWA MWENYEKITI WA KIKAO CHA BUNGE LA EALA BAADA YA SPIKA KUTOTOKEA KIKAONI KUTOKANA NA UDHURU
Mwenyekiti wa kikao cha bunge la EALA Nzeintin Nahimana akiingia kuongoza kikao cha Tatu cha bunge la Nne jioni hii jijini Arusha Mwenyekiti wa…
RC MAKONDA AMTAKA DC ILALA NA MKURUGENZI WAKE KUANZA UJENZI WA BARABARA KWA HARAKA SIKU YA KESHO
…………………………………………………………………………………………………………… Na Magreth Mbinga Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda amewataka mkuu wa wilaya ya Ilala na Mkurugenzi wake kuanza…
MKATABA MPYA WA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA EU UIMARISHE SEKTA ZA MAENDELEO
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akipeana mkono na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Mhe. Manfredo Fanti, baada…
VIONGOZI WA DINI,MILA WAPATIWA ELIMU KUHUSU HAKI YA MWANAMKE NA MTOTO
Afisa maendeleo ya jamii mkoa wa Arusha,Blandina Nnkini akizungumza katika semina ya viongozi wa dini na malwaigwanan iliyofanyika mjini hapa.\ Washiriki wa semina ya…
RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR IKULU
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais…
MUSIBA AINGIA KWENYE 18 ZA MUROTO BAADA YA KUCHAPISHA HABARI ZA KUTAKA KUULIWA
…………………………………………………………………………………………. Na.Alex Sonna,Dodoma Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limemuita kwa mahojiano mwanaharakati huru Cyprian Musiba kwa kutuhuma za kusambaza habari za kutaka kuuliwa bila kuripoti kwenye vyombo vya…
ALLY BABU AZIDI KUTANGA VIVUTIO NA LUGHA YA KISWAHILI CONGO
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii KAZI inayofanywa na Askari Polisi wa Amani nchini Congo kutoka Arusha- Tanzania Ally Babu ya kukuza na kutangaza…
DKT.JINGU AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA MAENDELEO NA BIASHARA YA KIMATAIFA WA FINLAND BW.SKINNARI
Waziri wa maendeleo na biashara ya nje wa Finland Bw. Ville Skinnari na ujumbe wake alipokutana na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya…