SERIKALI YAWASIHI WANANCHI KUTUMIA ELIMU YA FEDHA ILI KUKUZA UCHUMI
Kamishna wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Dkt. Charles Mwamwaja, akizungumza wakati akifunga rasmi Maadhimisho ya Nne ya Wiki…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Kamishna wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Dkt. Charles Mwamwaja, akizungumza wakati akifunga rasmi Maadhimisho ya Nne ya Wiki…
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ,Bw. Hamad Abdallah,akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma…
Na Mwamvua Mwinyi,Mafia Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Uchukuzi na Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa itaunda Timu Maalum itakayoshughulikia…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua gwaride, wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla ya ufungaji wa mafunzo ya awali ya uchunguzi ya…
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Baraka Leonard amewataka Watumishi wa Ofisi ya Bunge kuendelea kufanya kazi kwa weledi na…
Na Prisca Libaga Arusha Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini tarehe 25.10.2024 imetoa elimu juu ya madhara…
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamadi Hassan Chande (Mb), akizungumzia umuhimu wa michezo kwa vijana, ikiwa ni pamoja na kutengeneza ajira wakati wa kilele…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutokwa kwa Bi.Christina Lucas wa Kampuni ya Fishermen Tour &…
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Jerry Silaa (Mb) amesema, wananchi takriban 15,613 wa Kata ya Makuro na maeneo ya…
Na Mwandishi wetu, Zanzibar Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Thobias Makoba, amesema kuwa Idara ya Habari (Maelezo)…