********************************
KLABU ya Simba imefanikiwa kusonga mbele kwenye hatua inayofuata kwenye bkombe la FA baada ya kufanikiwa kuichapa timu ya Majimaji Fc ya mkoani Songea mabao 5-0 kwenye dimba la Mkapa Jijini Dar es Salaam
Mabao ya Simba yamewekwa kimiani na Gadiel Michael, Chris Mugalu, Luis Miquissone, Meddie Kagere na Ibrahim Ame.