Wakazi wa Dodoma wakisongamana  eneo la maduka walipokwenda kupata mahitaji leo Deema 24,2020 katika Soko la  Sabasaba jijini Dodoma, kwa ajili ya maandalizi ya sherehe ya Krismasi inayosherehekewa Duniani kote Desemba 25. Picha na Richard Mwaikenda.