************************************
Katika ligi ya mabingwa Afrika leo ambapo Simba walikuwa wageni kuikabili Fc Platinum ya nchini Zimbabwe na kupokea kichapo cha goli 1-0 na kusubiri raundi ya pili kufanya vizuri.
Fc Platinum walipata bao kupitia kwa nyota wao raia wa Zimbabwe Chikwende mnamo dakika 17 ya mchezo.