Kampuni ya simu TECNO inaendelea kuwakumbusha wateja wake kutembelea maduka ya TECNO katika msimu huu wa Chrismass na Mwaka Mpya.
TECNO ilizindua rasmi promosheni ya TUNARUDISHA FURAHA NYUMBANI terehe 11/12/2020 ambapo mteja atakaye nunua TECNO Camon 16s na Spark 5pro basi moja kwa moja atakuwa ameingia kwenye droo ya kushindania Mashine ya kufulia, Flat TV, Blenda, Rice cooker na zawadi nyenginezo hutolewa papo hapo.
TECNO itakuwa ikitangaza washindi wa Promosheni hii ya TUNARUDISHA FURAHA NYUMBANI kwa awamu mbili, droo kubwa ya kwanza itafanyika tarehe 19/12/2020 ambapo zawadi zitakazotolewa ni Mashine yakufulia, Gift vocha na package yenye zawadi mchanganyiko za Chrismass na droo ya pili kuchezeshwa 7/1/2021 kupitia Instagram account ya @tecnomobiletanzania.
Kwa kujikumbusha kwa ufupi TECNO Spark 5pro na TECNO Camon 16s ni matoleo mapya kwa kampuni ya TECNO lakini pia ni simu pendwa kutokana na uwezo wake katika upande wa camera na kimuonekano kwa ujumla. Camon 16s;
Ni simu yenye kamera kali kuzidi simu zote za TECNO nyuma ikiwa na MP 48 na selfie ni MP 16, ukubwa wa memory ni 128GB+4GB RAM na battery lenye kudumu na chaji wa muda mrefu la mAh 5000.
Spark 5pro;
Ni simu inayolenga watu wenye uchumi wa hali zote, ina camera nyenye uwezo wa kuchukua picha wakati wowote haijalishi ni wakati gani na katika mazingira gani, camera ya Spark 5pro ni MP16 na selfie yenye MP 8, memory ya GB 64+GB 3 RAM hukuikiwana battery yenyemAh 5000.
Kwa maelezozaidtembeleahttps://www.tecno-mobile.com/tz/home/