*********************************
Wanasema hayawi hayawi sasa yamekuwa, Mhariri Mkuu wa Fullshangwe blog, Bw.Alex Sonna amefunga ndoa na Bibi.Augusta Njoji katika Kanisa Katoriki Nkuhungu Jijini Dodoma.
Sherehe ilisheni baadhi ya Viongozi wa Serikali kwaajili ya kumpa ushirikiano Bw.Alex Sonna ili kufanikisha ndoa hiyo.
Timu nzima ya Fullshangwe na waandishi wa habari nchini tunamtakia heri na baraka tele katika ndoa yao.