Mbunge wa jimbo la Masasi na Waziri Mteule wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw.Geoffrey Mwambe akiuliza swali wakati apolikuwa akipata maelezo kutoka kwa Suleman Mnasha wa ASAS DAIRIES LTD wakati alipotembelea katika banda hilo leo ili kujionea bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na viwanda hapa nchini katika maonesho ya Kumi na Nne yaBidhaa za viwandani yanayoendelea kwenye viwanja wa Sabasaba barabara ya Kirwa jijiniDar es salaam, Kulia ni Mkurugenzi wa TANTRADE Bw. Edwin Rutageruka.
Mbunge wa jimbo la Masasi na Waziri Mteule wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw.Geoffrey Mwambe akitazama pakiti ya maziwa alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Suleman Mnasha wa ASAS DAIRIES LTD wakati alipotembelea katika banda hilo leo ili kujionea bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na viwanda hapa nchini katika maonesho ya Kumi na Nne yaBidhaa za viwandani yanayoendelea kwenye viwanja wa Sabasaba barabara ya Kirwa jijiniDar es salaam.
Baadhi ya wananchi mbalimbali wakipata huduma kwenye banda la ASAS DAIRIES LTD wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonesho ya kumi na nne ya bidhaa za viwandani kwenye viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam
Suleman Mnasha wa ASAS DAIRIES LTD akitoa maelezo kwa wananchi mbalimbali waliotemelea banda la kampuni hiyo kwenye maonesho ya Kumi na Nne ya Bidhaa za viwandani