RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi.Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa
Kiislam baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid
Istiqaama Shangani mji mkongwe Jijini Zanzibar leo 4/12/2020 na
kuwataka Wananchi kuilinda amani Nchini (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj
Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa, baada ya kumalizika kwa
Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Istiqaama Shangani Jijini
Zanzibar leo 4/12/2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj
Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Kiislam wakiitikia dua
ikisomwa na Sheikh. Mudathir, na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar
Sheikh.Omar Saleh Kabi, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa
iliofanyika katika Masjid Istiqaama Shangani Jijini Zanzibar leo
4/12/2020.(Picha na Ikulu)/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj
Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Masjid
Istiqaama Shangani Jijini Zanzibar, baada ya kumalizika kwa Sala ya
Ijumaa iliofanyika katika Masjid Istiqaama leo 4/12/2020.(Picha Ikulu)