Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Chama cha Wakandarasi Wanawake Nchini Bibi Judith Udunga aliyeongoza Ujumbe wa Wanachama wa Chama hicho walipomtembelea Makamu wa Rais katika Makazi yake Kilimani Jijini Dodoma leo Disemba 04,2020 kwa lengo la kuelezea changamoto mbalimbali wanazokabiliana nazo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)