Spika wa Bunge Mhe, Job Y. Ndugai (Mb) akifurahia na wenyeji wake mara baada ya kuwasili katika
Kilele cha Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya watu wenye ulemavu wilayani Kongwa Jijini Dodoma tarehe 3 Disemba 2020. Maadhimisho hayo yalikuwa na kauli mbiu “Si Kila Ulemavu Unaonekana” yaliratibiwa na Chama cha SHIVYAWATA. |
Maaandamano ya wananchi mbalimbali kuadhimisha kilele cha siku ya Kimataifa ya watu wenye ulemavu wilayani Kongwa Jijini Dodoma tarehe 3 Disemba 2020. Maadhimisho hayo yalikuwa na kauli mbiu “Si Kila Ulemavu Unaonekana” yaliratibiwa na Chama cha SHIVYAWATA.
Spika wa Bunge Mhe. Job Y Ndugai akiwa katika jukwaa kuu katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya watu wenye ulemavu wilayani Kongwa Jijini Dodoma tarehe 3 Disemba 2020. Maadhimisho hayo yalikuwa na kauli mbiu “Si Kila Ulemavu Unaonekana” yaliratibiwa na Chama cha SHIVYAWATA.
(Picha na Ofisi ya Bunge)